Kenya's No 1 GhettoRadio

Mjango alitweet makata juu ya Coronavirus amebambwa

0

Manjege wamembamba morio ali tweet makata kuhusi Coronavirus outbreak Kenya.

DCI walimdondoa Elijah Muthui Kitonyo, mwenye ni 23 years, juu alisanukia gova ati wanatubeba ufala kuhusu Corona Virus

Hio tweet isha deletiwa, na alikuwa ame tweet ati ana do wera na Kenya airways na ati anajua huyo yengs wa kwanza na hio virus.

Hio tweet yake wasee kibao wali ishare hadi kwa FB na whatsaap.

Ata chargiwa na kupublish makata yenye inaweza cause panic, contrary to Section 23 of the Computer Misuse and Cyber Crimes Act of 2018.

Akipatikana guilty, anaweza rushiwa fine haipiti mita ngovo ama adoze zangaro miaka kinde, ama arushiwe zote

DCI pia wana warn wasee wasi share false info juu ya Corona Virus

Spokesperson wa gova, Cyrus Oguna, alidai washa kemba ma vida wasee wana share zenye zinaingiza wasee njeve juu ya corona virus.

Gava imedai wanatumia twitter handles za ministry of health @Moh_Kenya na ya spokesperson wa gova, @SpokespersonGoK kushare info ya corona

Hio statement anatoa after vida ya mthama flani kijichocha yeye ndio patient walidai ako na corona na ati ni makata, kumbe zilikuwa ma highlights

 

 

 

Comments
Loading...