Kenya's No 1 GhettoRadio

Mnetty alireleasiwa nditni amemnyuria mokoro

Kuna mokoro ako na 76 years amemadwa na son wake mnetty village inaitwa Njoga, iko Mwea East, Kirinyaga County.

Mwea East Sub-county police commander Daniel Kitavi ame confirm hio riba na anadai alirianyu jana ngware, na after hio kisanga huyo mjango ameenda mitini.

Huyo shosh amekua akistay na huyo son wake mwenye alikua mjamo wa petty offenders uunye ali release Madaraka Day.

Mbiggy wa mambaru anadai wame recover weapon alitumia kummnyuria mokoro.

Body ya shosh iko mocha Kibugi funeral home wakitegea postmortem na mambanga wanamsakanya huyo mjango.

Madaraka day Uunye alikua ameorder wanetty wote wa petty offenders wene wana serve chini ya miezi utat zangaro kuwa set free.

By Nicanory Muhando

Comments
Loading...