Kenya's No 1 GhettoRadio

Mokoro Amekutwa Beating Juu Ya Kupona Na Son Wake

388

By Nicanory Muhando
Kuna mokoro Meru jana aliponea kubugda after kukutwa beating na mraia, juu inasemekana alikutwa red handed akipona na son wake.
Mtaa yake ni Kiguchwa iko Tigania Central na ni wamatha wengine walimvaa, juu alikutwa akipigwa mastick na son wake mwenye ni 27-years but ni fyat.
Kulingana na onjivo, Edwin Mwiti, ati sio son wake pekee, mthama anapenda sana mayutman.
Ni mzae wa kwake alimkuta akinyanduliwa akapeleka village na riang.
Kulingana na mila za wavaite, walimlazimisha kutembea akibeba ndizi zimevai kwa mgongo saa hizo anapigwa mamboko na wamatha wengine.
Investigations juu ya hio riba zishaanza.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More