Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Mokoro wa miaka 58 amenyuria hosi juu manurse wako bash!

0

By Mojes Kabro

Kuna mokoro wa miaka 58 alinyuria kwa hosi ya Nanyuki Referral, juu manurse walikuwa wanapiga cele ya bash ya mmoja wao.

- Advertisement -

Huyo Mokoro Halima Hassan ,inasemekana alifikishwa hio hosi na son yake na akachapiwa lazima apigwe matest kadhaa.

Lakini juu manurse walikuwa wamejitingia kwa room jamo wakipiga bash, huyo mokoro akagenya akichill ashughulikiwe.

Bigi wa health hio county ya Nanyuki ameconfirm hio ngori ilitokea na Gavana wa hio County Ndiritu Muriithi amedai investigation zimeanza na atajengana repoti .

Comments
Loading...