By Nicanory Muhando
Mambaru Naivasha jana ama aftee walibamba yut kwa recruitment ya manjege after alitry kugeuza grades zake za certy ya KCSE kuonyesha vile alipass teo.
John Mwangi, ni 24 years, na ali do KCSE 2019, aliscore straight Es, lakini alitumia biro na kuchora aliget ma B.
Kulingana na hio certy, morio aliwai E kwa ngoso, swa aliwai E, Chem aliwai E, thafu E, Bio E, CRE E, hadi biz aliget E.
Kumanisha mean grade ilikua E.
Lakini yutman hakulalisha rada, aliona lazima ajionyeshe chop, alichora aliget ngoso B+, Swa B minus alafu B main kwa thafu na CRE B minus.
Mambaru walimbamba na ako saa hii nditni investigations zikiendlea.
Vile na decode, General Service Unit na Administrative Police wana recruit.
Last week ilikua KDF