Kenya's No 1 GhettoRadio

Morio alikua amedunga kama Riambez amebambwa Migori

255

Mambaru Migori County Monday walimbamba morio alikua amedunga kama mdenge.

Jared Opiyo Nyatumba, ni 21 years, alibambwa kama amedunga dress ya yellow na alikua saa hizo amechana  nywele na manyu kama peng ting.

Mambaru wanadai Opiya alikua anapita njei ya stenje saa zile sanse mjamo akakemba na kuona ati yut ako suspiciously masculine.

Walimbamba na after ku interrogatiwa, alidai anaitwa Sheila Bichange.

After kuzidi interrogation alikubali baaden na kupeana ID na mboto yake, saa hizo inasho anaitwa Jared Opiyo Nyatumba, 21 years old Luo male adult kutoka Homa Bay County.

Akijitetea alidai yeye huwa na feelings za dem since akuwe mniaju, na ndio maana ameamua kudunga kama mdenge, sasa ako na freedom.

After kubambwa, wasee mtaa ya Awendo walimokre stenje wakidai ati huyo yut ndio ako responsible kwa crimes kibao hadi wasee wamenyuria.

Hadi walikua wanadai kumseti warena

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More