Kenya's No 1 GhettoRadio

Morio alisanya nyagu amesetiwa warena

0 290

Kuna fathela mkisii amesetiwa warena hadi akubugda juu ya kusanya nyagu kwa butchery, Kisii County.
Kibronje wake anaitwa Andrew Bogeta, na anadai mob ilimkuta Denis Nyaega jana morning wakidai amesanya nyagu.
Ni after walisakanya kwa keja yake na wakaget hio nyagu chini ya mattress.
Andrew anadai bro wake ni msee tifi hana ngori na msee.
Body yake iko njifri Kisii Teaching and Referral Hospital mortuary.
Kisii County Police Commander Chabel Munene anadai investigations za hio risto zinaendelea.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More