Kenya's No 1 GhettoRadio

Morio amebambwa akimanga nyama mbichi ya hyena

0

Kuna fathela mwenye ni 40 years mtaa inaitwa Kombewa yenye iko Othumo, imebidi amehepa village yao after alikutwa red handed akidimbua fisi .

Huyo morio alipatwa akidimbua hio hyena imenyuria, hata hakuichoma kiasi, ni kuirarua bila chumvi ama kachumbari.

Hio hyena ilikua imemadwa na wasee wa hio mtiech juu waliiget ikinyemelea mang’ombe kwa slaughterhouse

Jamaa anajulikana kama Obote Ochola, na alishangaza wasee, wakamrecord kwa menjes akitafuna hio nyagu ikiwa mbichi.

After aone ni ngumu kiasi ndio aliamua kuwasha nare aichome.

Kwa hio vida alikuwa anabonga kilum, wasee walitudecodia wanadai alikuwa anarombosa vile ameangukia buffet na ni yake pekee.

East Othany Sub location Senior Assistant Chief Caleb Okuom asha confirm hio cinemaree

Inasemekana anatoka village inaitwa Kochiel, lower Kombewa sub-location.

After kuanikwa ilibidi ameenda missing

Comments
Loading...