Kenya's No 1 GhettoRadio

Morio amebambwa juu ya kujipin bonoko

0 1,101

Kuna passenger aliingiza wasee njeve kwa rotejo Kinangop, Nyandarua County, after kupanda PSV akiwa amejipin bonoko.

Ati ali buy hio toy gun kutoka kwa hawker aende akawabambishe watasis na mabro wake.

Blunder ni aliisunda kwa waist, na ndio mraia wakaikemba.

Ma passengers na mandonda wenye waliilola walitoka siaka.

Kuna wenye walidhani ni sanse undercover.

READ ALSO; https://ghettoradio.co.ke/karau-amerudisha-mita-26-alikafunga-nayo-kupitia-bribery/

After agundue kumethoka, alipanda mat ingine yenye ilikuwa chuma.

Lakini mabeast wa stenje ya Vasha wali manage kumwai, aka arrestiwa na ku interrogatiwa.

Akijitetea alidai ako na masiblings tupyenga wenye humudaisha toy gun wacheze nayo guns and robbers.

Alidoze nditni siku jamo aka releasiwa jana.

Mambaru wanadai walimu warn ati acheze chini juu next time anaweza pigwa kidi wakidhani ni guangi.

By Nicanory Muhando

VIDEO OF THE DAY; https://www.youtube.com/watch?v=8CSEdtp3Hb8

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More