Kenya's No 1 GhettoRadio

Morio amechargiwa juu ya kudunga kapyenga dumbo

0

Kuna morio mwenye ni 32 years mwenye alimjaza yengs mwenye ni 17 years dumbo, amechargiwa na defilement kwa mbwenya Makadara.

Robert Kithaka Nyaga ana accusiwa kudo hio nomaree on Feb 28th akiwa kejani kwake Mwiki contrary to the Sexual Offences Act of 2006.

Inasemekana huyo yengs ni dem wake.

Wanastay hio mtaa wote, na ati alikuwa akimtemebelea huyo morio kupigwa miti sasa hio day ndio alimjaza

Ni this month on 4th aliskia abdominal pains, kuenda kutestiwa akapatikana ana ball na ikabidi mapero wake wamemsakanya Nyaga wakampeleka stenje.

Nyaga alikwara hizo charges mbele ya judgiko.

Aliwachiliwa na bond ya miti soo tatu, na kesi itaendelea August  17th.

Comments
Loading...