Kenya's No 1 GhettoRadio

Morio amedai hakudefile juu engine yake imechapa

0 871

Ikolomani Constituency yenye iko Kakamega county, kuna stude wa Form 3 amejimanyuria kwa kujihang’ akiwa bedroom yake.

Kulingana na shosh wake, Sebenzia Shivachi, huyo yut, Gabriel Shivachi alikua na miaka omba, aliwawacha sitting room after wamedimbua supper na akaenda kudoro, lakini morning wakaget body ina swing kwa ceiling.

Ati alikua ado KCSE this year lakini akachora letto na kusendia KNEC kudiffa hadi next session, so mara most mtaani alikua ana browse kwa tenje.

Wasee wa mtaa wanadai mayut wako online sana na ndio inachangia ma suicide mtaani.

Ati huyo boy alikua ametulia sana, hakubanja na wasee.

Hio mtaa inasemekana mayut kibao, sana sana ma orphans wamejimanyuria juu ya depression.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More