Kenya's No 1 GhettoRadio

Morio amedunda kutoka Third floor akihepa masanse

0 1,073

Kuna ngati alikua anahepa asibambwe na manjege, mtaa ya Emba kwa goro 3rd floor, alidunda na saa hii ako hosi Mama Lucy.

Didimus Mongare alikua wanted juu ya ku obtain maziwa.

DCI wanadai after agundue kamechiek, ati aliruka kutoka kwa balcony ya kitchen yake ya Amani apartments, akadunda vizii na kuvunja mikono na miguu.

Masanse walikua wanamuandama ni Rose Mwanzia na Geoffrey Koros na ilikua morning saa nnei.

Hao masanse wanadai walimfanyia first aid kwanza kabla ya kumrush hosi.

Wanadai wana mwish quick recovery, ndio kasonge Sanaa kwa mbwenya.

By Nicanory Muhando

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More