Kenya's No 1 GhettoRadio

Morio Amefikishwa Mbwenya After Kunyora Kwa Doe Ya Neighbour

0

Mjango mwenye alinyora kwa doe ya neighbor wake anangojea ku sentenciwa kwa kotiko after ali plead guilty kwa charges za offensive conduct.

Asman Masimba Hussein ali kubali hizo charges after pia alimtusi Anthony Mwangi Kariuki na ndio akanyora kwa doe yake esto ya baha on Feb tarehe 15

After Anthony kumsho asare hizo na amsho mbona zake zimemuonyesha akanyore hapo, inasemekana Masimba alionyesha umauru.

Ni maneighbour wa Kariuki walimdandia na kumpeleka stenje Jogoo Road

Alikubali charges mbele ya judgiko Angelo Kithinji wa Makadara Law Courts.

Judgiree after hapo aka order akanjwe probation report ya Masimba on March kabla ya kuamua sentencing.

Comments
Loading...