Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Morio Amejaribu Kujinyuroa Juu Ako Na Stress

0

Mtaa inaitwa Kagio iko Kirinyaga County kuna mjango mwenye ni 29 years alijaribu kujimanyuria ndakas ya baessa, alitry kujikata shingo yake.

Kirinyaga West Sub-County police commander David Kabena aki confirm hio riba, amedai, huyo mjango amejulikana kama Joseph Kirubi, anaweza kuwa ana suffer na depression na anafaa ku counselliwa.

Jamaa kumbe ni pool attendant wa hio bukla iko Kagio.

Alikimbizwa hosi Kerugoya Level 4 penye ana treatiwa bado.

READ ALSO; https://ghettoradio.co.ke/county-government-is-a-let-down-boda-boda-operators-now-say/

- Advertisement -

Ilikua sato magizgiz na jamaa alikua ako ndogogio.

Ati alikua ameitisha nyam chom, waitress akimletea kwa mbao akate nyagura, mjango akamnyafura na kujaribu kuslit throat yake.

Jamaa alikua next ndio alimnyanganya na kumsave.

Inasemekana alikua ashadai atajirianyu juu maisha ni dimanga.

VIDEO OF THE DAY; https://www.youtube.com/watch?v=Z7cJv-zCnEY

Comments
Loading...