Kenya's No 1 GhettoRadio

Morio amekatwa mjulubengs na auntiko wake

0 361

Kuna nguna area code ya Voi, Taita Taveta County, alikata mjulubengs ya nephew wake after alienda kwake akiwa ako ndogogio akitaka aspend usiku huko.

Hio kipindiree ili happen Friday magizani, village inaitwa Ndarunyi.

Huyo mjango ni 29 years, alimkatsia auntiko wake after kuingiza mjulus ndani ya shimo iko kwa doe, sasa hapo auntiko akaamua heri amfundiushe adabu.

Alikwachu razor blade na kuchinja rungu.

Ilibidi good samaritans wamemkimbiza Moi Teaching and Referral Hospital penye ili re attachiwa.

Voi Sub-county Police Commander Bernstein Shari anadai huyo morio condition saa hii ni bie.

Wanategea akue tifi alafu ajaze P3 FOM ndio itumike kumbamba auntiko wake na achargiwe kwa kotiko.

Exhibit ni hio wembe waliget kwa scene.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More