Kenya's No 1 GhettoRadio

Morio amekutwa mob justice juu ya kurape kapyenga

0

By Nic Muhando

Kuna mjango mwenye ni 35 years alikutwa war na mraia hadi kunyuria juu ya kurape kapyenga mwenye ni 3 years mako inaitwa Kambe yenye iko Ting’ang’a , Kiambu Sub-county.

Michael Karimi Kai, alinyuria kutokana na team building na ni after wasee walirespond after mama huyo mtoi kudai daughter wake ame rapiwa.

Ilikua hivi, huyo matha after kurealise daughter wake hachezi na maarif, alianza kumsakanya kwa maneighbour.

Alipelekwa na rieng huyo mtoi amekembwa kwa keja ya huyo mjango, kuvunja doe ya hio single room, wakaget katoi kamekaa kwa bed yake.

Hapo ndio alichachisha, maneighbour kumwok, wakamuuliza jamaa mbona hako katoi hakachezi na maarif but ako kwa bed yake, jamaa hata kabla hajajitetea, walimvaa kuruka.

Ting’ang’a Assistant County Commissioner Caleb Nyongesa ali confirm jamaa alichangamkiwa team builing hadi kugenya.

Lakini alitaka wasee wa sare mob justice, wawachie masanse wado wera yao ya investigations.

Body ya fathela ishapelekwa mocha Kiambu Level V na investigations zinaendelea.

 

Comments
Loading...