Kenya's No 1 GhettoRadio

Morio amekuwa wanted juu ya kumganda ngeus amebambwa

0

By Nic Muhando

Mambaru wa Directorate of Criminal Investigation wamembamba mjango anaitwa Victor Odhiambo mwenye amekuwa wanted since 2019.

DCI wanadai Odhis amekuwa missing since ali releasiwa last year.

Ali bambwa Homa bay leo na mambanga wenye walimtrail kutoka Mombasa.

Dec last year, Odhis alibambwa akiwa Oyole na ni after alimganda ngeus hadi akatoa jicho jamo.

Ati alimu attack Stela mwende mwenye ni widow, juu ali play hard to get.

Odhis alienda kwake kutry kutoa kutu cha nguvu, akatoa slasher na kumkata kwa uso hadi hio jicho ikadunda

Huyo mama alibaki na madent kwa shoulder na mkono ya right akitry kujidefend hio tick isimnyurie.

 

 

Comments
Loading...