Kenya's No 1 GhettoRadio

Morio amemnyuria kibronje juu ananyandua mthama wao

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Kuna fathela mwenye ako na miaka 35 village inaita Kegati yenye iko Kisii county, alikatwa na tick na kibronje wake mless, juu alidai alikuwa ananyanduana na mthama wao.

Ati alikuwa anampiga miti matha wake masiku mob hadi kila msee kwa mtaa alikuwa radar.

Ati huyo bro mles alikuwa amerudi home magithaa ya saa tano, matha wake hakutingua doe, alitry kumcall haku respond.

Alivunja window ya bedroom ya matha na kumget bro wake mbiggy kwa bed na matha wao.

Wote walikuwa wako maji hadi hawakushikanisha kuna msee amevunja window.

Yut juu ya kufume, aliita maneighbour waone vile anamdiscipline kibronje.

Alimkata na panga, saa hizo matha bado amekeiyo kwa bed.

Mtasis wao anadai bro wao mbiggy hakuwa amemarry, na alikuwa amezoea kukaa hadi late sana kwa keja ya matha wake.

Buda wao ako wera huku nai na hajaonekana mshatha miezi mbexe.

Kisii County Police Commander Jebel Ngere alikubali wamepelekwa na rieng chenye kili happen, vile mjango wa miaka 35 alikuwa anamnyanfdua mthama wake a miaka 55.

Huyo bro mdogo after kumnyuria kibronje alihepa but anasakanywa, na huyo matha aanasaidia manjege na investigations.

 

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More