Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Morio amemnyuria kibronje juu ya kusanya ngweks

0

Kuna morio mwenye ni 37 years ameganda vizii, ako saa hii hosi Kakamega County General, after ali attackiwa na wasee wa mtaa yake juu alimnyuria kibronje na mpini.

Huyo morio anatoka Shinyalu sub-county na ati alimbugda kibronje wake mless, akidai amesanya ngweks zake utat.

Auntiko wake anadai jamaa alimstab kibronje kwa chest, akaadisia ati jamaa ni mbeteka, amekua akiwahanda kila mse kwa family.

- Advertisement -

Mokoro na mtasis wake walikimbiza kibronje hosi but alipronnounciwa ashanyuria wakifika huko.

Shinyalu Sub-County Police Commander Robert Makau ame confirm hio riba akidai maneighbour walijaa gas wakamkuta kimob, ni village elder alimsave.

Anadai ana treatiwa akiwa kwa mating ting hosi, ata chargiwa na murder once atakua discharged kutoka hosi.

Comments
Loading...