Kenya's No 1 GhettoRadio

Morio amemnyuria mama juu haja spin mbese

0

By Nic Muhando

Mambanga Katchmega wamembamba morio alimnyuria mama wa kwake Monday usiku juu hakupika mbese.

Joseph Shiro, wa viilage inaitwa Emukaya, alirudi mtaani akiwa ndogogio, na alikuwa asha manga keroma before kuenda kutei, lakini akirudi, aliambia wife anataka round ya mbexe ya mbese, mama akakwara.

Wife, Florence Makonjoi, alijaa gas, wakaanza war, mjango akachukua jembe na kumgonga kwa mdihe.

Jose ashabambwa ako saa hii stenje Shilakwe Police Post.

Mama body ilipelekwa mocha Kakamega refferal.

Comments
Loading...