Kenya's No 1 GhettoRadio

Morio amemnyuria wife na chali afte kuwakuta red handed kwa bed yake

0

Manjege Kuresoi South on Tuesday walimbamba morio alimnyuria wife wake na chali wake after aliwakuta red handed, sekete kakisonga kwa bed yake.

Peter Cheruiyot alimweka mpini mama, Agnes Kirinyet, na huyo mjango alikua anampiga kuni, Christopher Korir.

After hapo mgodo mgodo alijipeleka njiste Keringet.

Wife wake alikua 32 years na huyo mjango, alikua 40 years.

DCI waliishia kwa bedroom yake na yenyewe wakaget hizo bodies.

ALSO READ; https://ghettoradio.co.ke/bazu-amemnyuria-wife-akajibugda-baaden/

Korir alikua ameatwa kwa throat na kupigwa mosheti kwa uso side ya left.

Body ya ngeus ilikua kwa floor na deep cut kwa mdihe na mkono ya right.

Murder weapon haikupatikana kwa scene.

WATCH; https://www.youtube.com/watch?v=2xnPSPsCVP8

By Nicanory Muhnando

Comments
Loading...