Kenya's No 1 GhettoRadio

Morio amendonyo nyagu ya doggy ndio anunue unga ya mbese

0 1,200

Ilibidi wasee village inaitwa Njuki iko Tigania Central amejiforce kumwaura after waligundua wamedimbua nyagu ya wagido.

Inasemekana fathela anaitwa Peter Mugambi aliamua kuchinja doggy yake juu alishindwa kufika bei ya kubuy unga ya mbese.

Sasa alichinja wagidoh na kundonyo hio nyagura.

Alichapia onjivo, Michuki Mutiga, ati aliwapiga makata wenye walibuy hio nyagu ati ni mbuzi amechinja, ndio wasimuulize maswali kibao.

READ ALSO; https://ghettoradio.co.ke/doky-wa-kamote-amebonda-juu-maconmen-wanampea-compee/

Ni customer mjamo alikemba ngozi, mdihe na mkia ya wagido manyu ya keja ya Mugambi na akapeleka mraia na riang’.

Ashabambwa na ata chargiwa na kundonyo nyagu yenye haijakuwa declared fit for human consumption.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More