Kenya's No 1 GhettoRadio

Morio amenyuria after kukata mzinga within 2 minutes

Kuna Morio South Africa amebugda after kunywaku mzingaree ya Jägermeister within dakika mbexe.

Wasee wanashuku ako kati ya 25 years na miaka salasa, na after kuchapa hio mzinga flash, alianza kuwa na lethal side effects.

Walikua wame bet kama anaweza lamba hio mzinga na flash, na hio maneno ili happen mtaa inaitwa Limpopo iko South Africa.

READ ALSO; Stude Amefikishwa Mbwenya Juu Ya Kusneak Kwa Chuo Na Tear Gas

Hadi kuna vida ina trend unaweza kemba jamaa akimeza hio tei saa hizo mbogi wana mcheer.

Yaani mziing’ aliikata bila ku pause kabla dakika mbexe kukatika, after hapo akachew na kunyuria.

Alikua ana plan kushinda maweng’, bahati mbaya hata hakuzitumia.

Mambaru wa S.A wana investigate hio kipindiree.

Jägermeister ni tei ya kinyoso imeundwa Germany, na imetengenezwa na ma herbs 60 na spices, alafu alcohol content ni 35 %.

Comments
Loading...