Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

MP wa Britain ame resign juu alikutwa aki watch nguati kwa parliament

Kuna MP wa Britain amekutwa akiwatch nguati Live ndani ya Parliament yao imebidi ame resign.

Neil Parish alichapia BBC imebidi asare offe juu ya design alichoma mboto.

Hio ni mara ya mbexe amekutwa akikemba porn kwa Parliament.

- Advertisement -

Parish ni MP wa Tiverton and Honiton na amekua kwa hio seat since 2010.

Anadai mara ya kwanza alipatana na hio website kibahati mbaya akikemba mboka flani, lakini ya mbexe alikua na mahanjam za kunyoga.

Ali suspendiwa na Conservative Party on Friday juu ya hio maneno.

Warazi walimseti ni ma MP mbexe mangeus wenye walikua wame kaa kando yake. Hao madenge walikatsika na hizo screams, jamaa hakua ame mute tenje

Comments
Loading...