Kenya's No 1 GhettoRadio

Msanii wa kegosho ame summoniwa juu ya ngoma

0

Msanii wangoma za kisap mwenye huimba kegosho Muigai wa Njoroge, amesummoniwa afike mbele ya National Cohesion and Integration Commission after ku release ngoma ili trend inaitwa eno migunda

Alichorewa letto inadai kuna vile mistari flani kwa hio ngoma zinachachisha design zina weza cause tension kwa ma communities.

Anafaa afike mbele ya offe za NCIC zenye ziko upper hill by June 26th.

Hio ngoma ili releasiwa last week isha gonga Zaidi ya views kappa soo sita na hapo amebonga vile masufferer huchezwa na mabazu

Amedecode hadi vile freedom fighters waling’angana lakini kuna vile bado hatuna freedom.

Alisanukia hadi political dynasties, yaani mafamilia zenye wame maintain kwa politics miaka kibao na ni wanajiu wao bado wana inherit power.

Muigai hadi ameimba juu ya vile bangu wasee walidemolishiwa makeja na saa hizo rona inatesa na mvua inanyesha kuruka

Hakuwachia hapo, aliimba hadi vile ati kuna watiaji kwa gova walimseti politician ati ali distribute keroma imesundwa sumu kwa masufferer

Comments
Loading...