Kenya's No 1 GhettoRadio

Msee alimbonda OCS na senke amefikishwa kotiko

0 273

Patrick Anasta Orassa, msee wa nduthi mwenye alimgonga OCS wa Pango akiride senke magithaa ya curfew ame chargiwa kwa mbwenya Milimani.

Alifikishwa mbele ya Magistrate Esther Kimilu jana, na Pato alichargiwa na driving without due care & attention, contrary to the traffic act.

Kotiko ili chapiwa vile on Sunday saa mbexe na nusu hivi magizani hapo Dr. Grffin Road kwa lights za traffic za red, Pato alikajaza na kutry kupita na roadblock.

OCS Samir Yunus akatry kumsimamisha na mkono, Pato ni nani, alimchota na hio senke, hadi akabaki na madent kadhaa.

Pia amechargiwa alikua ana drive bila licence.

Ali plead not guilty na kukanjwa cash bail ya miti chweza.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More