Kenya's No 1 GhettoRadio

Msee wa nduthi ame electrocutiwa akiosha senke

0

Kenya Power imebidi wametoa statement after msee wa nduthi area code ya Western BG alibugda after ku electrocutiwa akiosha senke yake kwa roe iko Kanduyi.

Wali confirm hio riba wakidai wamekatsika sana.

Felix Kiplangat, alikua anaosha nduthi, bahati mbaya akaguza cable naked na kunyuria on the spot.

Ilibidi staff wa Kenya power wamefika scene Makutano junction, Kanduyi na waka identify huyo morio kama Felix Kiplangat Bor.

Mambanga washaanza investigations kwa hio noma, na Kenya power wanadai wata work nao ku ensure wametuliza ngori.

Body ya huyo morio iko njifri, Bungoma District Hospital Mortuary.

Hio ngori ime happen madays after Kenya Power Safety Health and Environment Manager, John Guda alidai kwa miaka utat, wasee 345 walimanyuria kutokana na electrocution.

Comments
Loading...