Kenya's No 1 GhettoRadio

Mtoi amenyuria juu ya kulamba lolo

0

Kuna kaboy mwenye kalimanyuria area code ya Kakamega after alinyongwa akilamba lolo.

Matha wake anadai son wake mwenye ni 6 years ndio alipea son wake wa miezi saba hio puru ajinyce, saa hizo yeye alikuwa kwa bafu anashower.

Budake alitry kurescascitate akashindwa.

Buda huyo mjuniour anadai aliskia manduru, kuenda kukemba, akaget mtoi anakatikiwa na hewa.

Huyo mtoi alikimbizwa Lumakanda Sub-County Hospital na ili pronouciwa amenyuria once walifika huko.

Koromaiti sub-location assistant chief Wilkister Muyoka anadai hio maneno ili happen Monday jioni na imekatsia wasee wa village sana.

 

Comments
Loading...