Kenya's No 1 GhettoRadio

Mtoi wa miaka ngovo amekutwa beating hadi akakuwa blind

0

Kuna mtoi dem wa miaka ngovo ako partially blind after kukutwa beating mwenda na budake na step matha, area code inaitwa Bahati yenye iko Nax.

Hako katoi kako nursery na kali saviwa na Children’s Department na kupelekwa Tophill Hospital yenye iko Eldy kutreatiwa.

Bahati sub-County Children’s Coordinator Salome Waithaka anadai hako kaniaju kaliganda juu hakuosha nguo za bro wake mless mwenye ana miaka mbexe, na pia alidimbua omena bila ruhusa ya step matha wake.

Ati hio sio mara ya kwanza mapero wake wamemganda.

Sasa hii beating ya juzi, kulikua na clot kwa brain side ya left, na madent kwa uso, shingo, nanga, mikono na mdihe.

Maneighbour wanadai budake saa zingine humchoma na fwaka na yeye hukuashwa keroma mara most hadi inabidi ameomba maneighbor.

Huyo buda alibambwa na kupelekwa stenje Bahati.

Sasa haka kadem after kupelekwa hosi, wali realise huwa kameng’ethia, na anadunda akitembea, alirushiwa Rift Valley Provincial General Hospital na ma expert waka realise hio blood clot kwa brain ndio inafanya asikembe poa.

Matha wake real ni mboch huku nai na hawezi fika bill ya hosi yenye ni kappa 650.

 

 

Comments
Loading...