Kenya's No 1 GhettoRadio

Mtu salasa wamebambwa kwa church juu ya social distance

0 343

Wasee karibu salasa wenye walikutwa ndakas ya church Kibera wame finiwa kila mjamo mote utat juu hawaku observe Covid 19 measures.

Wakishindwa kuzikanja, watadoze nditni miezi utat.

Walisentenciwa na jajiree Derrick Kuto after wali plead guilty hawaku maintain social distance ya mita jamo.

Walibambwa wakiwa Abundant Grace Church yenye zabe ni Mashimoni namba nane, na wakijitetea walidai walimokre 1st service iki exchange na mbogi ya service ya mbexe.

Ati wenye walikua wanaondokea walimuok ndani ya church after waone mambang’a na wakabuya.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More