Kenya's No 1 GhettoRadio

Mukuru Imposter Wa Mambaru Ameganda

0 1,402

Mambang’a jana area code ya Mukuru Kayaba walimsave mjango mwenye ni 39 years after wasee kugundua ni Waiganjo.

Wanadai amekua imposter wa mambang’a, akiwamanga ganji zao akiwapata kwa ngori.

Nyumba Kumi wa Kambi Moto, Starehe Sub-County, wakiwa na Police Station Commander wa South B, Charles Ochoki, ndio walimsave kutoka kwa mob.

Makadara Sub-County Police Commander Timon Odingo ame confirm hio riba, akadai suspect anaitwa Dennis Mokaya na anatoka Kisii County, lakini amekua akicheza hio mboka na makarau wa stenje ya central CBD.

Hao ndio walimjenga ma ting ting, mrenga na ovaova.

ALSO READ; https://ghettoradio.co.ke/i-know-what-ails-kilimani-ward-i-am-here-to-solve-it-ariviza-declares/

Saa hii wana investigate wajue hao masanse mbexe wa central ni kina nani.

Hakua na ID ama identification ya mambang’a akibambwa.

Alikua anapenda kuotea wasee hawajadunga mask, wenye wamekata maji, wenye hunyora kwa public, mapeddy, wenye mabaessa na hawana licences na offenses zingine kibao.

Akibambwa alikubali yeye ni mbwakni, na ati ana stay Mukuru Tetra Pak lakini ananauwo slums zote za Mukuru.

Zabe zenye yeye hukafunga nazo Mukuru ni kama Jamaica, Lunga Lunga, Rubembe, Kingstone, Kayaba, Fuata Nyayo, Mariguini, Kisii, Hazina, Kenya-Wine na Commercial.

VIDEO OF THE DAY; https://www.youtube.com/watch?v=OoX-WMcd-Po

By Nicanory Muhando

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More