Judgiree wa kotiko Makadara, Heston Nyaga, ame order mzae mwenye ni 65 years afanyiwe mental assessment, juu kesi yake ni kurape ngweks ya landlord wake hadi kakadedi, mtaani Kahawa West.
Judgiko alitaka repoti ya Pius Mwendo kutoka kwa psychiatrist afikishiwe on February 17th.
Mwendo ni chogi wa rima.
Alipiga hio kuku kuni on January 30 saa moja morning
Hio ngweks ni ya Francis Waweru, na alikuwa ameifuga kwa garden yake chini ya keja alikuwa anaishi.
Akibambwa alijitetea ati alimurder hio ngweks by accident
Ali deny hizo charges na atabaki ndani hadi Feb 17th
Mboto za Hhio ngweks ndio zilipresentiwa kwa mbwenya na hizo ndio evidence pekee kwa hio kesi.