Kenya's No 1 GhettoRadio

Mzae amemnyuria mama wa kwake after kumkazia sekete

0

Kuna bazu wa kama miaka chweza hivi TZ, area code inaitwa Mwanza, aliamua kumnyuria mama wa kwake on Sunday juu alimsho watestiwe kwanza ukedi ndio aweze kumpiga miti.

Laurent Herman inasemekana hakuwa ameonekana mtaani kama one year, sasa vile ako mtaani wakati alidai sekete akakaziwa, alichukua kichuma na kumgonga wife wake Anastacia Zacharia kwa mdihe, hadi akanyuria on the spot.

Wife wake alitaka wafanye tests juu alijua huyo bazu ni mbeteka sector ya sekete na alikuwa anamezea amemcheza, na hio ndio ilikatsia huyo mzae.

Mbiggy wa masanse Mwanza Jumanne Murilo, aki confirm hio riba, anadai huyo mzae after kugundua amemurder mama wa kwake, aliamua kujinyuria kwa kumeza sumu, na akagenya akiwa Mbarika Health Centre penye alikuwa amekimbizwa na maneighbour.

Haikujulikana huyo mzae alikuwa ame lostia wapi karibu mwaka mzima

Bodies zao zilipelekwa mocha Mbarika Health Centre.

 

Comments
Loading...