Kenya's No 1 GhettoRadio

Naija, passy ametry kukata boob ya mdenge

0

By Nic Muhando

Kuna passy mnaija ameshangaza wasee juu alitry kumnyuria ngeus, hadi karibu amkate nyonyo ndio atumie kwa dumba zake.

Mambang’a wanadai Ogbonna Nwankwo ni 41 years, na alimweka mpini huyo mama kwa tumbo kwa motel huko Nigeria Orumba South last week Thursday.

Sasa akatry kukata boob jamo ndio atumie kwa rituals zake za kuget maweng.

Ati ni maneger wa hio motel ndio alitokelezea kumsave huyo mdenge.

Alikimbizwa hosi wakatry ku attach hio boob ilikua inadondoka.

Mambanga bado wana investigate hio kipindiree.

 

Comments
Loading...