Kenya's No 1 GhettoRadio

Ngeus alijishuku ako na rona amejimanyuria

0

By Nic Muhando

Kuna nguna Trans Nzoia County mwenye ni 35 years aliamua kujimanyuria jana after kujishuku ako na covid 19.

Hio ngori imefanya wasee kudai gova izidishe kuchanua wasee juu ya rona.

Sakina Nanjala kutoka village inaitwa Lunyu Sikulu yenye iko Kwanza Constituency, alijirusha ndani ya kisima dakika kadhaa after kuchapia arif ako na chest pains na anashindwa kupumua.

Huyo arif, Priscilla Nekesa, alimchanua aende aka testiwe Kitale County Referral Hospital but akakwara juu anabuya quarantine.

Kulingana na Trans Nzoia police commander, Ayub Ali, Nanjala alienda hadi kwa Kisima ya Neighbour na kuduff ndani.

Ni neighbour mwingine mwenye alienda kukata nyasi ya mbuzi asapo ndio alikemba body yake iki float.

Gova inadai hawajui kama ako positive, bado wanategea results after autopsy.

Body iko njifri mocha Kitale County Referral Hospital.

 

Comments
Loading...