Kenya's No 1 GhettoRadio

Ngeus amechomwa na mafuta ya chipo akidai ganji za chama

0

Kuna nguna mwenye ni 33 years ako hosi mbaya sana after kuchomwa na mafuta ya kupika chipo mwitu, mtaa ya Kachien, Homa Bay county.

Inasemekana Josephine Akinyi alichomwa na mafuta after war ianze kwa chama ya merry-go-round.

Alimwagiwa hio mafuta kwa chest na mapaja juu hawakuelewana nani anafaa kuchangiwa this month.

Chief wa Kachien North Jacob Adienge ame confirm hio riba, akidai huyo mama na mwenye alimwagia hio mafutare walikuwa wamedai hao ndio wanafaa kukanjwa ganji za chama.

Kalinuka, Akinyi alimvaa huyo suspect mavidevu, suspect kuona amelemewa, alichukua pan mavanga zilikuwa zinaiva na kumwagia Akinyi.

Alikimbizwa Nyalgosi dispensary kufanyiwa first aid, alafu baaden hosi Rachuonyo South Sub County.

Huyo nguna after hio drama alienda missing na bado anasakanywa.

 

 

 

Comments
Loading...