Kenya's No 1 GhettoRadio

Othumo mjango amemzika bro wake ndani ya bedroom

0

Kuna morio area code ya othumo village inaitwa Nyakach, amebambwa juu alimnyuria kibronje wake mbiggy na kumzika ndani ya bedroom yake.

Huyo mjango alimurdwer, alienda missing miezi mbexe zishaaisha.

Kulingana na chief wa Oboch location, Jonathan Ogire, hio body ilipatikana Monday jioni..

Ni familia yake walianza kuzua mbona ame lost hivyo, wakaenda kwa keja ya huyo bro mless, Clinton Ochuodho mwenye ako na miaka salasa, na wakaget body ya Joseph Ochieng, mwenye ana 45 years, amezikwa

Ochuodho alitolewa kwa mama pima akikata ng’ang’u wakampeleka kwake kumuuliza maswali ndio wakaget kuna tee

Walikuwa wanastay kimoja

Jamaa akijitetea alidai bro wake alimsho anaishia kusakanya wera

Marela walijua ni makata juu Ochuodho amekuwa akidunga maclady za bro wake zile za wanga

Bado haijajulikana alimnyuria design gani

Comments
Loading...