Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Othumo morio ametry kurape mokoro wake ako nditni

0

Kuna mjango mwenye ni 36 years othumo, mtaa inaitwa Karao, Seme, ako nditni juu alitry kumrape mokoro wake.

Onjivo wa Mtaa, Caleb Okuom, ame confirm hio riba, na anadai alipelekwa na riang na mzae wa mtaa ati Dan Otieno ame mu attack mthama wake.

Oti alirudi mtaani zikiwa zime mu arrest, akaanza kumkuta beating mthama wake mwenye ni 56 years, saa hizo akidai kupona na yeye.

Kwa hio commotion alimfukuza wife wake.

READ ALSO; https://ghettoradio.co.ke/mayut-mabombee-hawajatokelezea-police-recruitment/

- Advertisement -

Ilibidi Onjivo na maneighbour wamechangamka na kumbamba na kumpeleka njiste Kombewa.

OCPD Hellen Rotich anadai jamaa amedoze Kombewa police station na alikua afikishwe mbwenya Maseno Wednesday.

Wasee wa mtaa wamebonda juu ya hio risto wakidai ni curse kulingana na walum.

VIDEO OF THE DAY; https://www.youtube.com/watch?v=Z7cJv-zCnEY&t=1s

Comments
Loading...