Kenya's No 1 GhettoRadio

Passy amebambwa juu ya kutingua boot ya boy

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Mambaru area code inaitwa Migwani, Kitui County, wamebamba passy mwenye inasemekana alifungua boot ya boy mwenye ni 13 years.

Huyo passy ako na church place inaitwa Mutulani, jana alidai yenyewe alichangamkia turi ya huyo yut, hadi za maboys wengine utat.

OCPD wa Migwani, Nicholas Mutua, anadai huyo pastor alikutwa red handed akimpiga kuni hako kaboy manyu ndani ya keja yake.

Ati hao maboys wengine alipona nao ma days different.

Sasa hao maboys wote washapelekwa Hosi Mwingi ku examiniwa.

Hao maboys wanadai yenyewe walisuguliwa madays different.

OCPD amedai watamfikisha mbwenya wakimada investigations.

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More