Kenya's No 1 GhettoRadio

Passy amesho mambanga social distancing haijaandikwa kwa Bible

0

Mambanga Kirinyaga county wamebamba passy na wanakondoo wake salasa kwa mako inaitwa Ngurubani yenye iko Mwea East juu wali go against order ya public gatherings.

Mwea-East Police Commander John Onditi anadai hio church mzima waliresist ku arrestiwa wakidai mambaru wawasho ni verse gani kwa bible imekataza wasee wasi worship kimbogi

Walikuwa kwa keja ya msee na ilikuwa imechrome design hata kupenduka ni noma, but design walikajaza hadi masanse walishangaa

Hapo ndani kulikuwa na wajuniour tisa wenye walishoiwa wanaweza ishia mtaani, lakini hao ma adults 25 walipelekwa stenje

Baaden wanafaa kupelekwa quarantine

Kuna wasee wengine nane walibambwa kwa choche Piai trading centre yenye iko Mwea-East wakimochoa

Wenye walibambwa hapo kulikuwa hadi na karau na NIS officer

Ni wasee wa hio mtaa waliwasetti kwa mambanga

Ukibambwa magithaa ya curfew ama kwa public gathering, unasundwa quarantine juu gova inadai ita assume uko na rona

 

Comments
Loading...