Kenya's No 1 GhettoRadio

Prezda wa Chile amebambwa juu hajadunga mask

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Prezda wa Chile Sebastian Pinera amepigwa fine ya kappa three chweza after alipose kwa mboto ya selfie kwa beach na fan na hakua amedunga mask.

Chile wako na rules strict za kudunga masks kwa public na ukipatwa haujadunga ni zangaro ama fine bwaku.

Ilibidi huyo orezo ame apologise na akajisalimisha kwa stenje after wasee walimuanika kwa social media.

Akijitetea alidai alikua kalesa kwa beach akiishia kwake saa zile alipatana na nguna alidai ka salfie na yeye.

Kwa hio mboto, walisimama pamoja na wote hawakuwa wamedunga mask.

Rona ilifikisha peak Chile by May hadi June, lakini since then, ime muok dogo hadi November, lakini ni kama wave ya mbexe inafanya makesi kumokre.

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More