Kenya's No 1 GhettoRadio

Priest wa Catho amewapiga mboko madingo

0 1,613

Kuna vida ina trend priest wa Catho anawanyorosha mboko suspects mbexe wenye walidingo kwa shop.

Father Paul Nyambane wa Kisii Diocese anawakuta beating hao madingo saa hizo anawasomea teachings za bible penye Jesus ali punish wasee wame do wrong kabla ya kuwaombea.

Hao mayutman inasemekana walikua wamesanya kwa shop alafu priest aliwapata kwa scene of crime kama wasee wanadai team building (mob justice).

Mikono walizingafu na manyu priest akiwanyorosha, saa hizo mraia wanakemba tu.

Alidai kuna madevo ndio zikemewe lazima zibitikwe mamboko kwanza.

Mutaratara ni ati yeye ni Priest wa St Pauls Gekano Parish iko Nyamira County.

WATCH; https://www.youtube.com/watch?v=II-eobBgU3w

By Nicanory Muhando

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More