Kenya's No 1 GhettoRadio

Rent zimeanza kushuka kiasi

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Inasemekana juu ya Rona, kuna ma landlord wamecheza kama hao na kupunguza rent area codes kadhaa kanairo.

Kulingana na Hass Consult Rental Price Index yenye ime releasiwa, ikifikia June ndio marent kibao zime slashiwa.

47% ya matenant wamefanyiwa survey wanadai wameget discounts za kama 15 hadi 30 %.

Donny ndio inasemekana zimeshuka sana, ni kama 4.8 %, na kwa wanyoso, Kitusuru ndio imeshuka na 7.7%.

Mitaa zingine wasee wamejinyce ni kama Gigiri, LA, Ridgeways, Nyari, Kilimani, Athi River na Westy.

Lakini mtiech ziko Parky, Kiserian na Thika rd, malandlords ni mabunny kuruka.

Kwa hio report wanaamini rent zitazidi kudunda.

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More