Kenya's No 1 GhettoRadio

Rwanda wameapprove kundonyo highgrade

0

Rwanda wame approve highgrade, design yaani inaweza pandwa na ku exportiwa, lakini bado ni illegal kuiblaze hata kama ni for medical purposes.

Hio gava imekemba situation ikaona inaweza ingiza maziwa tifi nayo, ina target ku adisia export earnings juu global cannabis market iko na value ya $345 billion

Lakini hio mambo ime confuse wasee mugatha juu kuna wenye wanafkiri gova ime legalize nguai.

Rwanda Minister of Health Dr Daniel Ngamije amedai gova yao ina plan kubenefit na profit ya production and export ya tire lakini bado ni illegal ukipatikana nayo huko.

Hii ina maanisha ni gova itapeana licence ya kupanda na kuindonyo lakini mayolo.

 

 

Comments
Loading...