Kenya's No 1 GhettoRadio

Sanse alirape ngeus Lamu amepatika guilty

0

Kotiko Lamu imempata karau guilty juu ya kurape womandeh.

Police Constable Rodgers Ouma, mwenye ni 28 years, ali do hio ungati akiwa kejani kwake Lamu Police Lines, yenye iko Langoni on Dec 8th, 2019.

Judgiko wa Lamu Allan Temba pia alimpata Ouma guilty of abuse ya position yake ya authority kama mbang’a.

Huyo nguna alirapiwa ni 26 years, alikuwa ameenda hio stenje ya Lamu saa mbexe jioni kuripoti vile mzae wa kwake anamforce ameze pills za ku abort dumbo.

After kurecord statement, Ouma alimpromise kumhelp.

Saa zile tu alikuwa anatoka stenje, mvua mob ikaanza, Ouma akamsho waende kejani kwake kujikinga.

Wakiwa kejani, Ouma alitinga doe, akamnyafura tenje na kuizima.

Hapo sasa ndio akaamua kutoa kutu saa hizo anamtishia na kidungi

After kupigwa kuni, yengs alihepa na kuenda kudoze kwa neighbour.

Hangerudi kwake juu alikuwa amesahau keys za keja na tenje kwa keja ya Ouma.

Next day akaripoti hio nomaree kwa OCS wa Lamu.

Masanse walichukua hizo burungo kwa keja ya Ouma na ndio wakambamba, yengs naye akafanyiwa tests zikashow yenyewe alirapiwa

Sasa judgiko jana akideliver judgement alidai mbwenya imekwara defense ya Ouma ati amesettiwa

Ata sentenciwa this Friday.

 

Comments
Loading...