Kenya's No 1 GhettoRadio

Sanse amejikang’a Mombasa

0 582

Kuna sanse amejirianyu kwa kujikang’a na ndeng’a yake kwa mdomo.

Jacob Masha alikua 32 years, alinyambisha kidungi yake kwa chin, ridhe ikatokelezea kwa mdihe.

Akijirianyu alikua amejitingia kejani kake.

Officer Commanding Station OCS wa stenje Makupa na mambaru wengine wali rush teke kwa scene after kuskia maitoka, wakavunja doe after kuget keja imetingiwa na ndakas.

Walipata amegenya kwa chair, dibla kwa floor akiwa na G3 riffle serial number 005472 yenye ilikua na mbegu 19.

Hawanauwo mbona alijirianyu juu hakuwacha suicide note.

Body yake imepelekwa mocha ya Coast General Hospital wakitegea postmortem.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More