Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Sanse amejimanyuria Nyeri

0

Kuna sanse AP alikua attached Ngethu Water Treatment plant iko Kiambu, Monday alijimanyuria kwa kujiseti warena.

Kulingana na ripoti ili filliwa njiste Endarasha, Kanyagia Police Patrol Base yenye iko Nyeri County, James Mwangi alijibugda akiwa mushatha kwao Muthuini Sub Location in Mwohoko area, Kieni West.

Alikua leave kuanzia August 2nd.

Kibronje wa Mwaas ndio alikua wa mwisho kumkemba, akipea mang’ombe na mbuzi keroma.

Baada ya dakika salasa wakakemba moshi ikitokea kwa keja yake.

Maneighbour wakifika scene, walikuta main doe ya bedroom yake imetingwa na ndakas.

- Advertisement -

Mraia walimanage kuidim.

ALSO READ; https://ghettoradio.co.ke/yut-amefikishwa-mbwenya-juu-hajadunga-tifi-mask/

Bado haijajulikana mbona amejituma kwa Sir Jah juu hakuwacha manyu suicide note

WATCH;https://www.youtube.com/watch?v=x-U5kBqgHNM&t=30s

By Nicanory Muhando

Comments
Loading...