Kenya's No 1 GhettoRadio

Sanse amejinyuria na ndeng’a yake

0

Kuna sanse wa stenje iko Madungu, Ugunja, amebugda after alijikang’a na bunde yake jana ngware.

Dennis Gitonga aliwai itoka kwa shingo, na injury ilikua serious.

Kulingana na Ugunja Sub-county Police Commander Lazarus Taarus, mambaru wengine waliskia hio ridhe na kurush kukemba, waliget arif wao ame chew kwa floor.

Sa hizo ndeng’a yake ilikua kando yake.

Huyo sanse alikimbizwa hosi Ambira sub-county but akanyuria akikimbizwa Siaya County Refferal penye alikua referred.

Body yake iko mocha Ambira sub-county hospital.

Investigations juu ya hio riba zinaendelea.

 

Comments
Loading...