Kenya's No 1 GhettoRadio

Sapa awards kunauwo waziing wa mtaa

0 291

This weekend mtaa ya Kahawa West 44 mayut wana organize event ambapo wanatambua waziing wame make it mtaani.

Organiser wa SAPA award, Anthony Maina Gitahi aka Uncle Maicheche anadai wamekuwa wakijenga mayut wako na talents for 6 years na aim ya hio event ni ku narture na kutambua talents mtaani.

Ali adisia pia wana award mayut wanajilea na biz mtaani hadi wamatha, hii time levity ni ngori.

Challenge bwaku yenye wamenotice this year anadai ni rona, juu yaa coronavirus mayut kibao wamemokre kwa dimanga juu mraa hazijipi, na pia anadai ma sponors hawaja come through tifi lakini bado wana give thanks.

Anko anasema awards zitakua this Sato pale Empire club, Kahawa West kuanzia ma aftee na entry ni soo utat

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More