Kenya's No 1 GhettoRadio

SDA wame big up Atheists

0 510

Seventh Day Adventist Church wame big up Athesist in Kenya after wali wa support kwa kesi yenye mastude 17 wa hio church wali kuwa wamepigwa sus juu walikwara kudo teo sato.

Elder wa SDA, Arap Too, alikuwa amebambika na mbiggy wa Atheists, yaani wasee hawatambui sir jah, juu alihakikisha hao mayut wamerudi kidato.

AIK President Harrison Mumia alichorea hio seco letto akitaka mdihe wa hio seco, Kabianga High yenye iko Kericho, kuwakubali chuo wachop ama ange wa sue kwa kotiko

After masiku kadhaa, hao maboys walikubaliwa warudi system.

Walikuwa wamepigwa sus juu instead ya kudo CAT on sato, walienda kumsifu sir jah

 

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More